Habari za Punde

Golokopa wa Timu ya Chipukizi United Shuleiman Khamis Ajinyakulia Zawadi ya Mchezaji Bora wa Mchezo Kati yao na Mlandege Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

Meneja wa NIC Insurance Kanda ya Zanzibar Khamis Msami akimkabidhi zawadi ya fedha taslim golokipa wa Timu ya Chipikizi United Suleiman Khamis kwa kuibuka mchezaji bora katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Timu ya Mlandege, katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 0-0 Katika mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar leo 4-1-2024.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.