Habari za Punde

KINANA AFIKA KIJIJINI NGALASHI KUTOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI MKUU MSTAAFU ENDWARD LOWASA.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, Alıpokwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kijijini Ngarash kutoa pole kwa familia, ndugu jamaa na wananchi wa Monduli, Leo Februari 16, 2023.



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.