Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake
katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake
katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya
kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la
Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.
No comments:
Post a Comment