RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa
Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) Askofu Dkt.Philemon Langas
Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 28-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa
la Kilutheri Afrika Mashariki ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa wa Kanisa
hilo Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kilutheri Afrika Mashariki Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
28-2-2024
No comments:
Post a Comment