Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Ziarani Wilayanu Ruangwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kuhusu Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi,
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,  Feisal Alli Saidi kuhusu Maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku iliyopo Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kata ya Chienjele baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku na taa za barabarani, Ruangwa Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kata ya Chienjele baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Zahanati ya Namakuku na taa za barabarani, Ruangwa Mkoani Lindi, Februari 20,2024.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.