Habari za Punde

Fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar

WANANCHI wa Jiji la Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024
MAJAJI wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Afrika Mashariki, wakifuatilia washiriki wakati wakisoma Quran katika mashindano hayo,yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024
WASHIRIKI wa Mashindano wa Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, wakiwa katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar wakiti wa Mashindano hayo yakiendelea, yaliyofanyika leo 30-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2023
MASHEIKH na Maulamaa wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2024, wakati mashindano hayo yakiendelea katika Uwanja huo,na mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmoud Kassim Nassor kutoka Zanzibar (kulia kwa Rais) kwa kuibuka mshindi katika mashindano hayo kwa mwaka 2024 yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mdhamini wa mashindano hayo Alhajj Said Nassor (Bopar) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30 Mahmoud Kassim Nassor kutoka Zanzibar (kulia kwa Rais) kwa kuibuka mshindi katika mashindano hayo kwa mwaka 2024 yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mdhamini wa mashindano hayo Alhajj Said Nassor (Bopar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Ndg.Ramadhani Bukini, kwa mchango wake katika katika masuala ya Mashindano ya Quran, wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Masheikh, Maulamaa na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdullah, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.