Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 29, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Msukuma, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.