Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.

                                 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili Jijini Seoul nchini humo tarehe 31 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimtazama mtoto mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Wanadispora mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.