RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa
Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini, ukiongozwa na Mhe. Sul Hoon (kulia kwa
Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
11-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa

11-5-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa
Zanzibar mgeni wake Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini
Mhe. Sul Hoon, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini Mhe. Sul Hoon, baada ya kumaliza mazungumzo yao yliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024.
No comments:
Post a Comment