MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa (kushoto kwa
Rais) na Wajumbe wa Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Jijini Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 24-6-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar, kuongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa
Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu
ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasili
katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu
ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 24-6-2024.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024 katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 24-6-2024 katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment