Habari za Punde

Waziri Mkuu akutana na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi Tang Dengjie

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi Tang Dengjie, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 21, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi Tang Dengjie, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 21, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi Tang Dengjie, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 21, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wa Kamati Kuu wa Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi Tang Dengjie, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.