RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea
maonesho ya Wanafunzi wa SUZA na akipata maelezo ya vifaa vya kufundishia kwa
Wanafunzi kutoka kwa Mwanafunzi Maryam Khamis Hamad,maonesho hayo yaliyofanyika
katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kabla ya kuzindua
Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume leo 15-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea
maonesho ya Wanafunzi wa SUZA na akipata maelezo ya Taa za kuongozea gari
kutoka kwa Mwanafunzi Ahmed Ramadhan Abdalla, maonesho hayo yaliyofanyika
katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kabla ya kuzindua
Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume leo 15-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea
maonesho ya Wanafunzi wa SUZA na kupata maelezo ya kitabibu jinsi ya kifaa cha
kupumulia kutoka kwa Amina Ali Nassor,maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja
vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kabla ya kuzindua Kigoda cha
Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume leo 15-6-2024(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akimtawaza kuwa Mwenyekiti wa Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid
Amani Karume Prof. Enginald Pius Mihanjo, hafla hiyo ya kutawazwa iliyofanyika
katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo
15-6-2024

MWAKILISHI wa Familia ya Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume akimkabidhi
Vitabu Mwenyekiti wa kwanza wa Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume
Prof.Enginald Pius Mihanjo, baada ya kumaliza kutawazwa kuwa Mwenyekiti wa
Kigoda cha Sheikh Abeid Amani Karume, hafla hiyo iliyofanyika leo 15-6-2024 katika
ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kukizindua Kigoda cha Taaluma cha Sheikh
Abeid Amani Karume, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed
Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 15-6-2024
WAKUFUNZI wa Chuo Kikuu Cha Taifa cha Zanzibar
(SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Kigoda cha Taaluma cha Sheikh
Abeid Amani Karume , uzinduzi huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali
Mohamed Shein (SUZA)Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.15-6-2024
WANANCHI na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa
cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Kigoda cha Taaluma cha Sheikh
Abeid Amani Karume , uzinduzi huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali
Mohamed Shein (SUZA)Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.15-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO ya Heshima Rais Mstaaf wa Zanzibar
Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kigoda cha Taaluma
cha Sheikh.Abeid Amani Karume, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-6-2024, katika
ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO ya Heshima Rais Mstaaf wa Zanzibar
Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kigoda cha Taaluma cha
Sheikh.Abeid Amani Karume, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-6-2024, katika ukumbi
wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO ya Heshima Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Kigoda cha Taaluma cha Sheikh.Abeid Amani Karume, uzinduzi huo uliyofanyika
leo 15-6-2024, katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya
Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO ya Heshima na Naibu Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein (kushoto) baada ya uzindua
Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume,hafla ya Uzinduzi wa Kigoda
cha Taaluma cha Sheikh.Abeid Amani Karume, uliyofanyika leo 15-6-2024, katika
ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(
No comments:
Post a Comment