Habari za Punde

Waziri Mkuu Aongoza Kikao cha Ndani Kuhusu Mradi wa Liganga na Mchuchuma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha ndani kuhusu Mradi wa Liganga na Mchuchuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa  Ofisi ya Waziri Mkuu,  Mlimwa jijini Dodoma leo , Juni 10, 2024.  Kikao hicho kilihudhuriwa na  Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Waziri wa Madini, Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Waziri wa Fedha, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, baadhi ya   Makatibu Wakuu  na watalaamu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.