Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Akikagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akitoa maelekezo kwa Mkandarasi na Mshauri elekezi wa Ujenzi wa Mradi wa  Nyumba za Bei Nafuu za ZSSF zilizopo Mji wa Dkt Hussein Mwinyi Viwanja vya Magereza Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla akipokea maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Ujenzi wa Mradi wa Eneo la Biashara na Michezo la ZSSF lililopo Bweni Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 09.06.2024

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.