Baadhi ya Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi
Mkoani Songwe wakiwa kwenye shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 18 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mlowo
Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe
18 Julai, 2024.
Baadhi ya Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi
Mkoani Songwe wakiwa kwenye shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 18 Julai, 2024.

No comments:
Post a Comment