RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Kamati ya Mwaka
Kongwa, alipowasili Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa
Tamasha la Mwaka Kogwa lililofanyika leo 16-7-2024,katika viwanja vya Kae Kuu
Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Tamasha la Mwaka
Kogwa Makunduchi lililofanyika katika viwanja
vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024 na (kulia
kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Mwaka Kogwa.Mwita Masemo Makungu na (kushoto
kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya vyakula vya asili kutoka
kwa Mzee wa Makunduchi Bi.Amina Ubwa Ali,baada ya kulifungua Tamasha la Mwaka
Kogwa 2024, linalofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya
Kusini Unguja leo 16-7-2024.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono na kuwasalimia Wananchi
wa Makunduchi wakati akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya
kuzungumza na Wananchi na kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa 2024,linalofanyika
katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi
wa Makunduchi wakati akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya
kuzungumza na Wananchi na kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa 2024,linalofanyika
katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024
WANANCHI wa Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa
Kusini Unguja wakishangilia baada ya kuchomwa moto kibanda wakati wa ufunguzi
wa Tamasha la Mwaka Kogwa linalofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi, lililofunguliwa
leo 16-07-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi

WANANCHI wa Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wa
Kusini na Kaskazi wakipigana kwa mabuwa ya mgomba baada ya kufunguliwa kwa Tamasha
la Mwaka Kogwa 2024, lililofunguliwa leo 16-7-2024, na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya
Kae Kuu Makunduchi

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuwahutubia Wananchi wa Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja
wakati wa kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa 2024, linalofanyika katika viwanja
vya Kae Kuu Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-7-2024
No comments:
Post a Comment