MAPOKEZI ya Ndege Mpya ya Shirika la Ndege
Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8
Dreamliner ikiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, ikitokea Nchini Marekani
ikipokelewa kwa heshima na kumwagiwa
maji na gari za Zimamoto kiwanjani hapo leo 20-8-2024, wakati ikiwasili na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
VIKUNDI 49 VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MBULU MJI KUPATA MIKOPO YA MILIONI 168
-
Na Mwandishi wetu, Mbulu
VIKUNDI 49 vya wanawake wajasiriamali waliopo kwenye Halmashauri ya Mji wa
Mbulu Mkoani Manyara, wanatarajia kupatiwa mikopo ya S...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment