Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Naibu Mufti Mkuu Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Meneja Uhusiano kutoka PBZ Fatma Aboud Talib akitoa akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar.ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe.Hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Light Upon Light(NURU ALA NUR)Sheikh Nadir Mahfoudh akitoa taarifa maalum katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar.
Katibu wa Light Upon Light (NURU AL NUR)akitoa salamu za Viongozi katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe.hafla iliofanyika Hoteli Verde Zanzibar.
Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akitoa salamu za Ofisi ya Mufti katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe.Hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Light Upon Light(NURU ALA NUR)Sheikh Nadir Mahfoudh akitoa taarifa maalum katika hafla ya Uzinduzi wa Light Upon Light kuhusiana na Tamasha litakalofanyika kuanzia Tarehe 12 Octoba hadi 13 katika Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar ambapo masheikh kutoka Nchi mbalimbali wanatarajiwa Kushiriki akiwemo Mufti Menky kutoka Zimbabwe ,hafla iliofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Ujio wa Mufti Ismail Meky kutoka Nchini Zambia kutasaidia kuitangaza Zanzibar kiutalii wa kiislamu Duniani.
Ameyasema hayo Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Haruon Ali Suleiman wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la light Upon Light,katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar .
Amesema Mufti Meky ni Kiongozi maarufu duniani wa kiislamu ambae anakubalika mwenendo vyema katika kutoa hamasa pamoja na kuhubiri amani na utulivu sambamba na kutoa miongozo mbali mbali kwa umma wa kiislamu hivyo ujio wake huo nikuifungua Zanzibar katika kuleta mustakabali mwema wa kuitangaza kiutalii wa kiislamu.
“Zipo nchi kadhaa duniani zinafanya utalii wa kiislamu hii ni njia moja wapo yakuwasili kiongozi huyu kwa lengo la kuitangaza Zanzibar kiiutalii wa kiislamu,alisema Waziri Haruon.
Aidha alisema Zanzibar ni chimbuko la historia za mashekh na Maulamaa Afrika Mashariki katika sehemu za kiislamu hivyo upowezekano mkubwa wakupokea walii wa ainahiyo inayo kubalika.
Nae Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Shekh. Khalid Ali Mfaume amesema Utalii wa kiislamu niwa kipekee ambao ofisiimeuridhia nakutoa ushirikiano kufanikisha Tamasha hilo.
Mapema Mwenyekiti wa Tamasha hilo Sheikh Nadir Mahfoudh kutoka Annuor Cheretable alisema kuwa mpaka sasa zaidi ya nchi 12 duniani zimethibitisha kuwepo katika tamasha hilo ambalo mashekhe wakubwa watakuwemo katika kuleta umoja na mshikamano.
Tamasha hilolinatarajiwa kufanyika Octoba 12 Mwaka huu katika uwanja wa Amani Complex Zanzibar likidhaminiwa na wafadhili mbali mbali wakiwemo PBZ Islamic,PDB,AMANA BANK,CRDB BANK.
No comments:
Post a Comment