RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa mgonjwa aliyelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Lumumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Ibrahim Ali Suleiman,akiwa katika utaratibu wake kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao.leo 19-9-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ndg.Haruna Juma Hassan, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar,katika jengo la Mapinduzi Mpya, akipata matibabu, akiwa katika utaratibu wake wa kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao katika hospitali mbalimbali leo 19-9-2024.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa Haruna Juma Hassan,aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar,katika jengo la Mapinduzi mpya, akiwa katika wake kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao leo 19-9-2024.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment