RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili katika viwanja vya Matola
Nchini Msumbiji kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa
Jamhuri ya Watu wa Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024 katika viwanja hivyo kwa
uwekaji wa Shada la Mau lililowekwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji
Mhe.Filipe Jacinto Nyusi. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakishiriki katika hafla ya uwekaji wa
shada la Mau katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji akiwa mgeni
rasmin wa hafla hiyo, iliyofanyika katika viwanja vya viwanja vya Matola Nchini
Msumbiji, iliyofanyika leo 7-9-2024 katika viwanja hivyo kwa uwekaji wa Shada
la Mau lililowekwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto
Nyusi.
RAIS wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe
Jacinto Nyusi akiweka shada la maua katika mnara wa Mashujaa, wakati wa
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa
Jamhuri ya Watu wa Msimbiji, iliyofanyika leo 7-9-2024 katika viwanja hivyo vya
Matola Msumbiji mgeni rasimn Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe
Jacinto Nyusi, wakiwandoka katika viwanja vya Matola Msimbiji baada ya
kumalizika kwa hafla ya uwekaji wa Shada la Mau katika Mnara wa Mashujaa wakati
wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbuji, hafla hiyo iliyofanyika leo
7-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakiangalia ngoma za Utamaduni wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,baada ya
kumalizika kwa uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa Viwanja vya
Matora, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa
Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024, na
(kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe
Jacinto Nyusi.

Jacinto Nyusi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na
(kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Mshumbiji
Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akiwa na Mkewe Mama Isaura Nyusi, wakisalimiana na
Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara
wa Mashujaa katika viwanja vya Matora Msumbiji leo 7-9-2024, wakati wa Sherehe
za Maadhinisho ya Ushindi wa Msumbiji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, mgeni rasmin katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka
50 ya Ushindi wa Msumbiji, akipata maelezo ya picha mbalimbali za historia ya
ukombozi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, wakati akitembelea maonesho hayo
katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe
Jacinto Nyusi.
No comments:
Post a Comment