Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Awasili Nchini Marekani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga alipowasili nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.