RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ya
kuchora na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao,
baada ya kumalizika kwa Ibada Maalumu ya kumpongeza iliyofanyika katika viwanja
vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja, kwa
ajili ya kujumuika na Waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, katika
Ibada ya kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino Shao, iliyofanyika leo 27-10-2024
katika viwanja hivyo.
MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la
Zanzibar Askofu Augustino Shao akiongoza Ibada maalumu ya kumpongeza kwa Unabii
na Utumishi wake kuleta umoja na mshikamano katika Kanisa Katoliki Jimbo la
Zanzibar, iliyofanyika leo 27-10-2024 katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,na
Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakijumuika na Waumini wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Zanzibar, katika Ibada ya kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino Shao,
iliyofanyika leo 27-10-2024 katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mao Zedong
Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo 27-10-2024,baada ya kumalizika kwa Ibada
maalumu ya kumpongeza Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu
Agustino Shao, iliyofanyika leo katika viwanja hivyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ya
kuchora na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao,
baada ya kumalizika kwa Ibada Maalumu ya kumpongeza iliyofanyika katika viwanja
vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-10-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo
Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao, baada ya kumalizika kwa Ibada
Maalumu ya kumpongeza Askofu Agustino Shao, iliyofanyika leo 27-10-2024, katika
viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment