Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro tarehe 23 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya SGR kutokea Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima mara baada ya kuwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro tarehe 23 Novemba,
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya
SGR kutokea Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Novemba, 2024.
Picha
namba 05. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima
mara baada ya kuwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro tarehe
23 Novemba, 2024.
No comments:
Post a Comment