Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano
pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani, Kampasi
Kuu Morogoro kwa ajili ya sherehe za Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani
Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada
ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo
Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya
23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani,
Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024. Shahada hiyo ni ya kwanza katika
ngazi hiyo ya Uongozi kutolewa na Chuo hicho tangu kuanzishwa kwake.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia
kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika
eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.
No comments:
Post a Comment