Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Spika Mhe. Mussa Hassan Zung na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jaffo akipokea kuto9ka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila zawadi ya picha ya kuchora ikimuonesha akimpa pole mtoto wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa moyo wakati huo huduma zikipatikana MOI katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Naibu Spika Mhe. Mussa Hassan Zungu wakiingia ukumbini katika harambee aliyoongoza kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wadau waliohudhuria katika harambee aliyoongoza Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Spika Mhe. Mussa Hassan Zung na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jaffo akitoa cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Insurance Company Bw. wilson Mzava kwa mchango wao wa zaidi ya shilingi milioni 700 katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Spika Mhe. Mussa Hassan Zung na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jaffo akitoa cheti cha shukurani kwa mwakilishi wa taasisi ya kimataifa ya BAPS Charities tawi la Tanzania kwa mchango wake wa dola za Kimarekani laki nne (takriban shilingi 1,078,674,800) katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Spika Mhe. Mussa Hassan Zung na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jaffo akitoa cheti cha shukurani kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB kwa mchango wao wa shilingi bilioni moja katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo iliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Heart Team Africa Foundation (HTAF) katika hoteli ya Johari Rotana Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na sehemu ya timu ya wataalamu iliyoongozwa na Prof. David Mwakyusa (wa tatu toka kushoto nyuma), ambaye akiwa Waziri wa Afya, yeye Profesa Mohamed Janabi (hayupo pichani) na timu hiyo walitoa mchango mkubwa katika kuanzishwa kwa Taasisi ya JKCI mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment