Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku
Kamisheni Maafisa Wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika
sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani
Arusha tarehe 28 Novemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua
Gwaride la Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha
Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha
Maafisa
wanafunzi wakivalishana vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha
No comments:
Post a Comment