Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.HusseinMwinyi Amewaapisha Wakuu wea Mikoa na Wilaya Aliyewateu Hivi Karibuni


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Mattar Zahor Masoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rashid Simai Msaraka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Khatib Juma Mjaja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mgeni Khatib Yahya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Othman Ali Maulid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Juma Sururu Juma kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Hawwah Ibrahim Mbaye kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara (Mawasiliano) Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.