RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mradi wa Mauzo ya Nyumba za
Chumbuni za Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi
iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Sultan Said (kushoto
kwa Rais) akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni,
wakati wa Uzinduzi wa Mauzo ya Mradi wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika
katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza
Meneja Mahusiano wa Mikopo ya Nyumba Benki ya Azania Bi. Hellen Hassan Moka
akitowa maelezo ya utaratibu wa kupata mikopo kupita benki ya Azania, wakati
akitembelea maonesho kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na (kulia
kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Sultan Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza
Meneja Mahusiano Mikopo ya Nyumba Benki ya NMB Pauline Sangale,akitowa maelezo
ya utaratibu wa kupata mikopo kupita benki ya NMB, wakati akitembelea maonesho
kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Sultan Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiandika maoni yake kwa Shirika la Nyumba
Zanzibar (ZHC) baada ya kutembelea maonesho ya Mabenki katika Uzinduzi wa Mradi Mauzo wa Nyumba za
Chumbuni, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan
Complex Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa
Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni za Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) hafla
hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex
Zanzibar
BAADHI Wageni waalikwa na Wafanyakazi wa Shirika
la Nyumba Zanzibar (ZHC) wakafuatilia hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Mauzo ya Nyumba
za Chumbuni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuzindua Mradi wa huo hafla
hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.

No comments:
Post a Comment