RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais
wa Zanzibar
Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi
Zena Ahmed
Said, wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Makumbusho ya
Makaburi ya
Masultali waliotawala Zanzibar, Bi, Zuhura Ali
Juma, yaliyoko katika Nyumba ya
Wananchi Forodhani
Zanzibar, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Mji
Mkongwe Zanzibar, yaliyoadhimisha katika viwanja vya
bustani ya Forodhani Mkoa
wa Mjini Magharibi Unguja leo 2-12-2024
No comments:
Post a Comment