Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 24, 2024. Mkoa wa Mbeya, Iringa na Halmashauri ya Mpwapwa Mkoani Dodoma inataraji kuanza uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Desemba 27 mwaka huu hadi Januari 02, 2025. (Picha na INEC).
MHE. RIDHIWANI KIKWETE AWASILISHA MUSWADA WA SHERIA ZA KAZI KWA KAMATI YA
BUNGE
-
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasilisha ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment