Habari za Punde

Waziri Mhe.Tabia Azindua Barabara ya Kiwango cha Lami Mchangamle Mkoa wa Kusini Unguja

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Mchangamle The Residence Zanzibar (4.5) Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu 'Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Muonekano wa Barabara ya Mchangamle The Residence Zanzibar (4.5)iliozinduliwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita  Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu 'Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakitembea katika Barabara ya Mchangamle The Residence Zanzibar (4.5)baada ya kuizindua  Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu 'Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akikata Utepe kuashiria  Uzinduzi wa Barabara ya Mchangamle The Residence Zanzibar (4.5) Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu 'Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Makame Machano haji akitoa taarifa ya Ujenzi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Mchangamle The Residence Zanzibar (4.5) Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu 'Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.24/12/2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.