RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
MHE. RIDHIWANI KIKWETE AWASILISHA MUSWADA WA SHERIA ZA KAZI KWA KAMATI YA
BUNGE
-
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasilisha ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment