Habari za Punde

MUONEKANO wa Majengo ya Mradi wa Hoteli ya SSPD –Buhairan –Plan Hotel SA, inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, iliyowekwa Jiwe la Msingi la ujenzi wake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar



















 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.