Habari za Punde

WAZIRI MKUU AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MAKOBA YA ZANZIBAR

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe alipofungua  Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko  Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za  Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Musa.

  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko  Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za  Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Musa.  








 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.