Habari za Punde

Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Sheria Zanzibar

Brassband ya Jeshi la Polisi Zanzibar ikiongoza Maandamano ya Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibarb leo 10-2-2025.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.