RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo
cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na Mwanzilishi wa
Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al -Hussaini Aga Khan IV,
aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno, alipofika katika jamaat
la Shia Ismailia Zanzibar hurumzi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi (kushoto kwa Rais) Mkuu wa
Jamaat la Shia Ismailia Zanzibar Altaf Jiwan na Rizwan Janmohamed.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo
cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na Mwanzilishi wa
Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al -Hussaini Aga Khan IV,
aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno, alipofika katika jamaat
la Shia Ismailia Zanzibar hurumzi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijimuika na Viongozi wa Jamaat la Shia
Ismailia Zanzibar katika kuitikia dua baada ya kusaini kitabu cha maombolezi
kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na
Mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al
-Hussaini Aga Khan IV, aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno,
alipofika katika jamaat la Shia Ismailia Zanzibar Hurumzi Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi,
ikisomwa na Mukhi Murad Vellani.
No comments:
Post a Comment