Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezindua Boti Tatu za Kubebea Wagonjwa "Ambulance Boat"

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika eneo la Hoteli ya  Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja  kwa ajili ya uzinduzi wa Boti Tatu za kubebea Wagonjwa “Ambulance Boat”, uzinduzi huo uliyofanyika leo 19-2-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Boti tatu za kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika leo 19-2-2025, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Kaimu Mkurugenzi Benki ya Dunia Milena Stefanova na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Meneja wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Ernest Massiah

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika moja ya Boti za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat”  baada ya kuzizindua leo 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.


Kaimu Mkurugenzi Benki ya Dunia Milena Stefanova akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirishia Wagonjwa "Ambulance Boat" uzinduzi huo uliofanyika leon 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

Meneja wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Ernest Massiah akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirishia Wagonjwa "Ambulance Boat" uzinduzi huo uliofanyika leon 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Miraji Mzee  atowa maelezo ya kitaalamu wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirishia Wagonjwa "Ambulance Boat" uzinduzi huo uliofanyika leon 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi, katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirishia Wagonjwa "Ambulance Boat" uzinduzi huo uliofanyika leon 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za  Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika lkatika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar na Wananchi  wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025
WAFANYAKAZI  Wizara ya Afya Zanzibar na Wananchi  wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.





















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.