Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SWALA YA EID WILAYANI RUANGWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ruangwa,  Ibrahim Ndoro (kulia) na Mkuu wa ilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma baada ya kushiriki swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki Swala ya Eid ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki Swala ya Eid ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  wakati aliposhiriki Swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya Mtaa wa Maghalani, Kata ya Ruangwa Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.