RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Ali Mohammed Said, hafla hiyo ya ugawaji
wa futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba ,iliyofanyika
katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba 18-3-2025
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
(kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi ,akimkabidhi Sadaka ya Futari Mtoto Siti Omar Shoka, wakati hafla ya
kukabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini
Pemba, iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makoyo Wawi Wilaya ya
Chakechake Pemba 18-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa ugawaji
wa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu, hafla hiyo iliyofanyika
katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba 18-3-2025.
BAADHI
ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza na kuwasalimia baada ya kugawa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa
Makundi Maalumu, hafla hiyo ya ugawaji iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda
cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba 18-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakijumuika na Wananchi kuitikia dua ikisoma na Sheikh Imani Mohammed, baada ya
kumalizika kwa hafla ya ugawaji wa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi
Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya
Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba iliyofanyika 18-3-2025.
No comments:
Post a Comment