RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi kwa ajili ya kufungulia saumu, wakati wa hafla
ya Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, iliyofanyika katika
ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba,
iliyofanyika jana 18-3-2025.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba
wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika futari maalumu iliyoandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika
katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha
Watoto Kibirizi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandalia Wananchi
wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto
Tibirinzi Chakechake Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandalia Wananchi
wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto
Tibirinzi Chakechake Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijuika
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,
baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi
wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa
wa Kusini Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025 katika ukumbi wa Kiwanja cha
Fufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa
wa Kusini Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025 katika ukumbi wa Kiwanja cha
Fufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijuika
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,
baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi
wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadid, zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini
Pemba, baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja, iliyofanyika katika ukumbi wa
Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.
No comments:
Post a Comment