RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi
Aviwa Omar Khamis, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square
Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi
sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Abdulrahim
Bakari Abdallah, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square
Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar l2-3-2025, amakabidhi
sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi Hafsa Omar
Hamad,kabla ya kukabidhi sadaka ya futari, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025,
amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi
Hafsa Omar Hamad, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square
Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi
sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi
Hassan Mussa Hassan, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi
Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025,
amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
No comments:
Post a Comment