Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali na kuangalia Vivutio vya Utalii wakipokelewa na Kuangalia Burudani ya Ngoma ya Msewe mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mkuu wa Jengo la Baitil Amani Heri Bakari akitolea maelezo kuhusiana na Makumbusho ya Jengo hilo kwa Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Muonekano wa Sub marine iliowabeba Mabalozi kwa ajili ya kuangalia Samaki na Vivutio mbalimbali vya Baharini wakati walipowasili kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
No comments:
Post a Comment