RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Familia katika
Sala ya Maiti kumsalia Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya aliyewahi kuwa Mbunge wa
Jimbo la Mkunazini Zanzibar (CUF) iliyofanyika katika Masjid Jibril Mkunazini
Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-4-2025 na (kulia kwa Rais) Mtoto wa
Marehemu,Waheed Muhammad Ibrahim Sanya na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba,Sheria,
Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi
baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti, ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya
aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mkunazini Zanzibar (CUF) iliyofanyika katika
Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-4-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazira wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti, ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya
aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mkunazini Zanzibar (CUF) iliyofanyika katika
Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-4-2025.
No comments:
Post a Comment