Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakati akielekea nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa barani Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Ivory Coast Balozi Selestine Kakele baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa barani Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugre Mambe baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa barani Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugre Mambe baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa barani Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Ivory Coast Balozi Selestine Kakele baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa barani Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment