Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaliamiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Fujii Hisayuki katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025. Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na viongozi walioshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) alipowasili kwenye maonesho hayo nchini Japan, Mei 25, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya tingatinga, Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Fujii Hisayuki (wa pili kulia) katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025. Kulia kwake ni Mkewe Mary Majaliwa na kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo.Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akizungumza na Dkt. Kizusue Konoike katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitembelea banda la maonesho la Japan katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaliamiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Fujii Hisayuki kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na mkewe Mary wakitanzama burudani iliyoporomoshwa na Kikundi cha Taarabu cha Rahat Zamani cha Zanzibar katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka( World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei 25, 2025.
Baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan wakimsikiliza Waziri Mkuu,Kassim Majliwa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maonesho hayo, Mei 25, 2025.
No comments:
Post a Comment