Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza
ujumbe wa Tanzania wakati wa kuhitimisha Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Ivato, Antananarivo nchini
Madagascar usiku wa tarehe 17 Agosti 2025.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiondoka
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato mara baada ya kuhitimisha Mkutano
wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Ivato, Antananarivo nchini Madagascar.
No comments:
Post a Comment