Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Hassan Kisabya Almas. Mgombea huyo wa NRA aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Hamisi Ally Hassan (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Tanzania Kutuma Wanamichezo 492, Kushiriki Mashindano ya FEASSA 2025 Nchini
Kenya.
-
Jumla ya wanafunzi 492 ambao ni wanamichezo mbalimbali wanatarajia
kushiriki mashindano ya michezo ya wanafunzi wa shule za Msingi na
Sekondari kwa nchi ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment