Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
WIZARA YA ARDHI YAENDESHA KLINIK MAALUM KUONGEZA KASI YA UMILIKISHAJI
-
Mkuu wa wilaya ya Mbarali Kanali Maulid Hassan Surumbu (Kulia) akishuhudia
utoa hati ya kielektroniki wakati wa klinik maalum ya ardhi inayoendelea
kijij...
1 minute ago
No comments:
Post a Comment