Habari za Punde

RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE JIJINI DAR

Picha mbalimbali za  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CCM katika viwanja vya
Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Agosti 28, 2925. Picha na Issa Michuzi.












 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.