Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Wazee wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27, Agosti 2025.
Viongozi
na Wazee mbalimbali waliohudhuria mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe
27, Agosti 2025.
Mwenyekiti
wa Baraza la Ushauri la Wazee Taifa, Mzee David Lameck Sendo akizungumza kwa
niaba ya Wazee wakati wa mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27, Agosti 2025.
Viongozi
na Wazee mbalimbali waliohudhuria mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe
27, Agosti 2025.
No comments:
Post a Comment